Mwaka huu tumeuanza kwa mwerndelezo wa kumalizia shooting ya filamu yetu ya Dirty of hands {uchafu wa mikono} na hizi ni baadhi ya picha tulizo kua location kalibu sana mdau
HIDAYA SAIDI |
KASSIM MANYANGARY na HIDAYA SAID katka chumba cha mateso CHIEFGIMBO{DIRECTOR} akitoa maelezo kadhaa kwa washiriki wa kipande husika Kasimu Manyangary na Rebeka Msigwa kushoto mwisho ni wapita njia
hapa tukitoka location wanaonekana hapo {shat draft}nikKASSIM MANYANGARY wapili ni ISAYA T. RUNENKE
CHIEF GIMBO {kushoto } KASIM MANYANGARY {katikati} ISAYA T. RUNENKE
mwisho kulia
No comments:
Post a Comment