JUKWAA HILI LINAHUSISHA WADAU WANGU WAKUBWA AMBAO WANATOA MCHANGO WAO WA HALI NA MALI KATIKA FILAMU ZOTE NILIZOFANIKIWA KUZIFANYA HAWA NDIO SABABU KUBWA YA MIMI NA CREW YETU NZIMA YA UANDAAJI WA FILAMU KUFIKA HAPA TULIPO AMANI UPENDO NA MSHIKAMANO NAWASHUKURUNI SANA
ASELA MAGAKA MUAANDAJI WA MISS SHINYANGA |
IMAM MABROUK KOCHA MKUU WA TIMU YA AMBASSADOR FC |
MANAGER WA ROCKY POINT HOTEL |
KUSHOTO , JOEL LUNYUNGU AKIWA NA ERICK RWEHUMBIZA KUTOKA SHIRIKA LA FHI360 |
MR JOEL LUNYUNGU SITE CORDNATOR WA FHI360 KAHAMA |
MHE, ELIASI NKWERA MFANYA BIASHARA MASHUHURI HAPA KAHAMA |
hapa tukiwa crew ya Gold film production
nje ya ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mhongolo
na hii ni picha pamoja na Mheshimiwa kalolo
watatu toka kulia {waliosmama}
nje ya ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mhongolo
na hii ni picha pamoja na Mheshimiwa kalolo
watatu toka kulia {waliosmama}
MR EMANUEL KALOLO Afisa mtendaji kata ya MHONGOLO (w) KAHAMA
MR IDRISA KAPALALA MKURUGENZI WA CHUO CHA AFRIDOOR
NA MILLENIUM INTERNET KILICHOPO KAHAMA MJINI MTAA WA
UHINDINI
MR SALUM MFANYA BIASHARA Ambae amehakikisha hatupati taabu ya usafiri
angalia picha ya chini mchuma wake huo VOX ndo unahakikisha tumefika kila sehemu
MAGRET MLEKWA huyu ni mdau wangu mkubwa kuanzia magari nyumba na make up
saloon yake iko mtaa wa nyihogo kahama mjini eneo la mnazi mmoja
MR ZAWAD MASUD (kulia) akiwa na binti yake SHUFAA (katikati) pamoja na D.O.P
DICKSON (man kiwango) katika studio ya PHOTOZONE PICTURE iliyopo
KAHAMA ni wadau wangu wa nguvu pia
No comments:
Post a Comment