Tanzania yenye amani na upendo haiwezi kua hivi bibi mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga {55} mkazi wa kijiji cha Mega {w}ya Kahama Mkoa Shinyanga ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga na watu wasio julikana
picha na Faraji Mfinanga Kahama Fm program Manager
No comments:
Post a Comment