RAJABU AKIWA NA D.O.P TEACH MAKER
RAJABU PETER ZACHARIA director wa movie kutoka Kahama jamaa namkubali sana mmoja wa watu walionifundisha sanaa miaka ya 2004 hapa akiongoza movie yangu niliyomaliza kushuti mwezi wa 6 mwaka huu HATUA YA KUPOTEZA twenzetu wadau wangu wa nguvu
No comments:
Post a Comment