WELL COME TO GOLD MEDIA GROUP

WELL COME TO GOLD MEDIA GROUP
FILM PRODUCTION

Translate / tafsiri

Sunday, October 20, 2013

HAPA TULIKUA LOCATION TUKIREKODI FILAMU YA MWANASESELE

 watanzania ipo siku mtatuelewa hii ndiyo asili yetu hebu tizama hii nyumba na wahusika








ubora wa picha unatafutwa sio unaenda location na camera man mvivu kila ukimueleza kua nataka shot hiii anaanza kuleta vikwazo mara oooh hiyo shot  sio nzuri mtizame mwanangu teach alivyoninginia kwenye mpera hapo



No comments: