WELL COME TO GOLD MEDIA GROUP

WELL COME TO GOLD MEDIA GROUP
FILM PRODUCTION

Translate / tafsiri

Monday, September 16, 2013

HALISIA YA MOVIE ZA KITANZANIA HII HAPA

tunaendelea kukuletea vitu moja kwa moja kutoka location gold film tukiendelea kufanya kazi




4 comments:

Unknown said...

kiukweli nimependa hatua uliyopo sasa kaka binafsi umenipa mizuka ya kuifanya sanaa kuwa ndio ibaada yangu kila wakati mahali popote ninapokaa naiwaza sanaa hongereni nyote washiliki wa wa movie natumaini siku1 nami nitaharikwa kushiriki pamoja .........BENNYPOWER,,,,,,,,hutokosea kama utanitaja hivyo

Unknown said...

kaka fanya siku moja kabla ya kumaliza sean zako nakuomba hata siku1 nami niweze kufanya kazi na wewe maan kikwetukwetu ni ngumu kujitoa mwenyewe mpaka kushikwa mkono so please bro nakuomba nami nijaribu kuonyesha uwezo niliopo nao...............BENNYPOWER,,,,,,,,,,,,,,,,Hutokosea kama utanitaja hivyo

chiefgimbo said...

usijali mdogoangu but nilipata habari kua umeachana na sanaa baada ya familia kukuandama sasa sijui itakuaje wakikuona katika movie huoni kama nitakua nakutafutia matatizo?

chiefgimbo said...

inategemea kama na wewe utakua ndani ya sanaa karibu sana