WELL COME TO GOLD MEDIA GROUP

WELL COME TO GOLD MEDIA GROUP
FILM PRODUCTION

Translate / tafsiri

Saturday, September 7, 2013

WELLCOME TO WWW.CHIEFGIMBO.BLOGSPOT.COM

Blog hii imeanzishwa kwa ajili ya kutoa habari zinazohusu utengenezaji wa filamu kutoka katika kampuni ya GOLD FILM PRODUCTION. mnakaribishwa kutoa maoni, majadiliano pamoja na ushauri  kuhusiana na blog hii pamoja na kazi zetu zitakazo kuwa zinaonekana katika blog hii mojakwa moja.

1 comment:

Unknown said...

siku zote juhudi ndo msingi wa maisha na ndo maana waka sema mkono wenye juhudi huleta maendeleo...sera ya wa marekani ni umimi kwanza,kwa maana hiyo una takiwa kuangaria kwanza maisha yako kabla huja anza kujari maisha ya wenzio..mimi naipenda..sera ya wachina ni ujamaa...kufanya kazi pamoja(ujamaa)umoja ni nguvu utengano ni udhaifu..hii nayo nime ipenda...hebu jiulize kwanini mmarekani ana kutaka uwe mbinafsi kwanza!? hana nia mbaya na wewe..una takiwa kuiweka vizuri kwanza familia yako kwanza kabla huja anza kuwa jari walioko pembeni..na mchina ana amini uki fanya kazi kwa kushirikiana na wenzio uta fanikisha mapema kuimaliza..lakini je katika mgao huoni kama kuna utofauti na alie fanya peke ake? na je ni yupi ana faa kufuata sera zake!!? mchina